Unaweza Kutazama #Exclusive Interview Tuliyofanya na Msanii Anayekuja Vizuri Kwenye Comedy Kwa Sasa @mr_beneficial Kwenye Channel Hii #WasafiMedia Tumepiga Nae Mastory Kibao Kuhusu Kazi Anazofanya, Jinsi Gani Maisha Yake Yamebadilika na Changamoto Ambazo anakutana nazo Kwenye Ufanyaji wa Kazi Zake
#TunasongaKinamnaHii #HiiNiYetuSote #Sanaaimezaliwaupya #KaaKitaalam

0 Comments