Katika somo hili utajifunza matumizi ya neno "have" katika Kiingereza kupitia vipengele vifuatavyo, "I have...., I don't have...., Do you have...?, I have something to...., I don't have anything to...., Do you have anything to...?, What do you have?" PLAYLISTS:
Jifunze Kiingereza (Masomo yote yako hapa):
Kiingereza cha kuongea:
Chaneli hii ni maalum kwa ajili ya kuwasaidia wazungumzaji wa Kiswahili kujifunza Kiingereza kwa njia rahisi na bora.
MAWASILIANO:
WhatsApp: +255 675 333360
Facebook: Azari Eliakim
Instagram: azarieliakim

0 Comments