Advertisement

MSUVA - 'Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA'

MSUVA - 'Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA' MSUVA - "Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA"

TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Kuamkia leo November 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.

Haukuwa ushindi mwepesi, kwani hadi mapumziko, tayari Equatorial Guinea walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wa Sassuolo ya Italia, Pedro Mba Obiang dakika ya 15 akimtungua kipa mkongwe wa Tanzania, Juma Kaseja kwa shuti la mbali.

Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin.

Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili, ambapo bao la kwanza liliwekwa kimiani na Simon Msuva, na pili likifungwa dakika za nyongeza na Salum Aboubakary (SURE BOY),

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:


HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:


GLOBAL RADIO TV:


EXCLUSIVE INTERVIEW:

SIMON MSUVA,MBWANA SAMATTA,AGREY MORISI,ERASTO NYONI,CAF,CECAFA,SURE BOY,IDDY NADO,AFCON 2019,MOHAMED HUSSEIN,TFF,WALLACE KARIA,HAJI MANARA,GOLI LA SURE BOY,SELEMANI MATOLA,KOCHA WA TAIFA STARS,ETTIENE NDAIRAGIJE,KELVIN YONDANI,TANZANIA VS EQUTORIAL GUINEA,

Post a Comment

0 Comments